Sisi ni nani?

Asasi ya Habari za Maendeleo (TADIO) ni mtandao wa radio jamii 31 ambazo zimesambaa Tanzania nzima. Radio hizi wanachama wa TADIO zinawafikia wananchi wasikilizaji zaidi ya milioni 15 Tanzania Bara na Visiwani. Sehemu kubwa zinazofikiwa na Radio Jamii hizi hazifikiwi na vyombo vya habari vingine kwa urahisi.

Zaidi kuhusu sisi »

 

Kazi zetu ni zipi?

TADIO inafanya kazi ya kusimamia maslahi ya radio na wananchi katika kuhakikisha kunakuwa upatikani wa taarifa kupitia

  • Kazi ya kushauri serikali ili kwa ajili ya kupata sera bora za urushwaji wa matangazo
  • Kutoa mafunzo kwa vituo vya radio na kutengeneza mtandao wa kufamiana baina ya vituo vya radio
  • Kutoa fursa kwa radio kuweza kufikia wasikilizaji wa vijijini

Soma zaidi »

 

Fanya kazi nasi

Idadi kubwa ya watanzania wanaishi vijijini, TADIO tutakusaidia kuwafikia wananchi waliopo vijijini kupitia mtandao wa radio zetu nchi nzima.

  • Kwa kuanzisha miradi shirikishi
  • Udhamini wa vipindi vya radio
  • Kwa kurusha vionjo na matangazo

Maeneo tulipo »

 

TAKWIMU ZA TADIO

12 345 671
UFIKIWAJI KWA MWEZI

31
RADIO WANACHAMA

345
WAANDISHI WA HABARI

 

TAKWIMU ZA TADIO

Taarifa za hivi punde

Habari zote »

Taarifa za hivi punde

Habari zote »

Washirika wetu

Wadau

Wadau