Private: Fahamu ukweli kuhusu virusi vya corona

TADIO kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Mashirika ya Maendeleo ya kimataifa wamewaandalia mtiririko wa vipindi vya redio kuhusu jinsi ya kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona.

Sikiliza vipindi vya redio

 

Sisi ni nani?

Asasi ya Habari za Maendeleo (TADIO) ni mtandao wa radio jamii 43 ambazo zimesambaa Tanzania nzima. Redio hizi wanachama wa TADIO zinawafikia wananchi wasikilizaji zaidi ya milioni 15 Tanzania bara na visiwani. Sehemu kubwa zinazofikiwa na redio jamii hizi hazifikiwi na vyombo vya habari vingine kwa urahisi.

Zaidi kuhusu sisi »

 

Kazi zetu ni zipi?

TADIO inafanya kazi ya kusimamia maslahi ya  wananchi katika kuhakikisha kunakuwa na upatikanaji wa taarifa kupitia redio.

  • Kazi ya kushauri serikali ili kwa ajili ya kupata sera bora za urushwaji wa matangazo
  • Kutoa mafunzo kwa vituo vya redio na kutengeneza mtandao wa kufamiana baina ya vituo vya redio
  • Kutoa fursa kwa redio kuweza kufikia wasikilizaji wa vijijini

Soma zaidi »

 

Fanya kazi nasi

Idadi kubwa ya watanzania wanaishi vijijini. TADIO itakusaidia kuwafikia wananchi waliopo vijijini kupitia mtandao wa redio zetu nchi nzima.

  • Kwa kuanzisha miradi shirikishi
  • Udhamini wa vipindi vya redio
  • Kwa kurusha vionjo na matangazo

Maeneo tulipo »

 

TAKWIMU ZA TADIO

12 345 679
UFIKIWAJI KWA MWEZI

43
RADIO WANACHAMA

345
WAANDISHI WA HABARI

 

TAKWIMU ZA TADIO

Taarifa za hivi punde

Habari zote »

Taarifa za hivi punde

Habari zote »

Washirika wetu

Wadau Wetu

Wadau Wetu