Third board meeting Held on Meeting Room at Open University Of Tanzania 14th August, 2019

Rose Mwalongo -UNESCO ,mgeni mwalikwa katika kikao cha bodi kilichofanyika katika ukumbi mdogo wa mikutano wa chuo kikuu huria cha Tanzania.

Wajumbe wa kikao cha bodi TADIO wakiendelea na mijadala Prosper Kwigize -Mwenyekiti TADIO akizungumza neno wakati wa kikao kilichofanyika katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Chuokikuu huria cha Tanzania . Kikao kilichofanyika Tarehe 14 August 2019 Rose Mwalongo -UNESCO ,mgeni mwalikwa katika kikao cha bodi kilichofanyika katika ukumbi mdogo wa mikutano wa chuo kikuu huria cha Tanzania. Maimuna Msangi -Mjumbe wa bodi na meneja wa Radio Pangani FM Kushoto ni Shabani Ali Mweka Hazina na mwenye kofia ni Ali Mbarouk mjumbe wa Bodi wakiteta jambo.