Machweo nyuma ya majengo.

Salam za siku ya Radio Duniani Kutoka Radio jamii Irangi FM .

Wanahabari kutoka Irangi FM -iliyopo Kondoa -Dodoma Tanzania,wanatoa toa salama zao kuelekea siku ya radio duniani .

Wanasema wana kondoa wanaamini kuwa radio ndio chombo kinachoweza kuwaunganisha wakawa na sauti moja ,hivyo kupitia Irangi FM wanapata habari na taarifa mbalimbali kwa maendeleo ya wana-kondoa.(World Radio Day).

#WorldRadioDay2020
#WRD2020
#SikuYaRadioDuniani2020
#RadioZaJamii
#CommunityRadio
#UNESCO
#TADIO
#RadioAndDiversity
#RadioNaUjumuishaji
#zanzibar