Machweo nyuma ya majengo.

SOCIAL MEDIA CHALLENGE

#English

Join #UNESCODAR and #TADIO to celebrate the World Radio Day on 13th February 2019. To participate, take a photo or selfie with a Radio, and share it in your social media with the following Hashtags; #WRD19TZ, #TADIO19, #UNESCODAR before 05th February 2019. The person who gets more likes, will be invited to celebrate the World Radio Day in Tanga.

#Swahili

Piga picha ukiwa na redio na utume kwenye mitandao ya kijamii uweze kushiriki kwenye maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani. Mshindi mwenye “likes” nyingi ataalikwa kwenye maadhimisho yatakayofanyika  kitaifa Jijini Tanga. Tafadhali tumia hashatags zifuatazo, #TADIO19, #UNESCODAR, #WRD19TZ. Mwisho ni Tar 05/02/2019