
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa wito kwa wakazi wa jiji hilo kupunguza safari za kwenda mikoani ikiwa hawana sababu maalumu za kufanya hivyo ili kuepusha kusambaza maambukizi ya ugonjwa wa homa ya mapafu unayosababishwa na virusi vya corona.
Makonda ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Aprili 16, wakati akipokea shehena ya vifaa vya kujikinga na virusi vya corona kutoka kwa Mfanyabiashara Maarufu Rostam Aziz ikiwamo barakoa, vitakasa mikono na mashine maalumu za kujitakasa kwa ajili kujikinga dhidi ya virusi hivyo.
Amesema hivi sasa hali imebadilika hivyo hakuna haja ya kwenda kusalimiana hovyo badala yake kila mtu akae nyumbani kwake ili kuepuka kusambaza au kupata maambukizi.
“Ninawapongeza sana wale wanaokataa wageni nyumbani kwao, jamani hali imebadilika sana kama wewe wa Dar es Salaam hauna sababu ya msingi kwenda mikoani baki hapa hapa tupambane na hili janga ili msije mkaenda kuwapelekea wengine maambukizi.
“Maambukizi ya mkoa wetu hayafurahishi sana idadi sio nzuri, ni vyema kwa kipindi hiki tukajilinda na kuwalinda tuwapendao pia kama hauna sababu ya msingi usiende mjini baki nyumbani kwako tunataka wanaoenda mjini wawe wana kazi ya kufanya huko,” amesema Makonda.
Aidha ametoa wito kwa wenyeviti wa mitaa kuzuia watu kukaa vijiwe ili kuepusha milundikano isiyo ya lazima na hivyo kuaagiza kuwachukulia hatua wale watakaokaidi maagizo hayo.
“Shule zimefungwa ili watoto wabaki nyumbani haina sababu ya kuruhusu watu walundikane wakipiga stori bila sababu ya muhimu mkiona hivyo mchukue hatua, tumieni nafasi zenu vizuri,” amesema Makonda.
Credit #Jf
Latest
-
May 4, 2024
MAJALIWA: WATENDAJI WA SERIKALI TOENI USHIRIKIANO KWA WANAHABARI
-
April 10, 2024
Salamu za Eid Al Fitr from TADIO
-
April 9, 2024
TADIO na Farm Radio International Wajenga Ushirikiano kwa Maendeleo ya Jamii.
-
December 21, 2023
Advocating for Men to Involve and Uplift Women.
-
December 12, 2023
Orkonerei FM’s Leap into the Digital Age Through In-House Editorial Portal Training
Archive
- 2024
- 2023
-
2021
- February (1)
-
January
(7)
-
Redio wanachama wa TADIO kunufaika na msaada wa vifaa vya kujikinga na magonjwa ya mlipuko kutoka UNESCO
-
Rais wa Zanzibar aipongeza UNESCO
-
wazazi wajibikeni katika malezi
-
Wananchi Chilonwa waomba kukarabatiwa daraja
-
Kilimo cha Mkonge kwa Wakulima wadogo Pangani.
-
KIKAO cha Kamati ya Ushauri Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara utekelezaji wa miradi ya maendeleo
-
Wakina Mama wanao Nyonyesha watakiwa kuzingatia usafi wa Mwili na Mazingira- Kilosa.
-
-
2020
- November (2)
- October (1)
-
September
(6)
-
Redio Micheweni FM ikifanya mahojiano na mwenyekiti wa TADIO kuelekea IDUAI 2020
-
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upataji wa Taarifa 2020
-
UNESCO:Waandishi tumieni mifumo ya Tehama katika kuandika habari za Uchunguzi.
-
Wanahabari watakiwa kuandika zaidi habari za wanawake na watoto
-
UNESCO na SDC wawajengea uwezo shirika la Habari za maendeleo – TADIO
-
Bei ya nafaka yaendelea kushuka mkoani Katavi
-
-
August
(4)
-
Pakua jarida picha mafunzo ya Uhamasishaji juu ya Maadili ya Vyombo vya Habari na Kuripoti juu ya Hali ya Migogoro na Mabadiliko
-
Mashirika yasiyo ya kiserikali kufundisha waandishi wa habari 60 juu ya maswala ya haki za binadamu
-
Viongozi wa TADIO waaswa kufanya maamuzi ambayo yatasuluhisha shida za Wajumbe wao
-
WAANDISHI WA HABARI WAASWA KUFUATA MAADILI
-
- July (3)
-
June
(15)
-
UWEKEZAJI TUNAOUTAKA NI ULE WA KUWAJIBIKA KATIKA JAMII- WAZIRI KAIRUKI
-
MILIONI 780 KUJENGA KLINIKI YA HUDUMA ZA METHADONE MKOA WA TANGA.
-
SHULE YA SEKONDARI MWERA KUPOKEA WANAFUNZI 80 WA KIDATO CHA TANO
-
Waziri Waziri Wa Afya Ummy Mwalimu Awasihi Wazazi Kuwasimamia Watoto Katika Matumizi Ya Vifaa Vya Kieletroniki
-
Serikali Imeendelea Kutekeleza Makubaliano Yakimataifa Katika Mapambano Dhidi Ya VVU
-
Tanzania Yatajwa kuwa nchi ya kwanza kwa utulivu na amani katika Ukanda wa Afrika Mashariki .
-
Rais Magufuli Atangaza kufungua shule zote zilizokuwa zilizokuwa Zimefungwa Kisa Corona, Juni 29, 2020.
-
Taarifa Ya Hali Ya Uchumi Wa Taifa Kwa Mwaka 2019 Na Mpango Wa Maendeleo Wa Taifa Wa Mwaka 2020/21 Wawasilishwa Bungeni
-
Ukuaji wa pato halisi la Taifa kupungua na kufikia asilimia 5.5
-
Hati safi Halmashauri ya Mji wa Bunda yamkosha Malima
-
Serikali Haitopanga Bei Ya Zao La Pamba Msimu 2020 – Waziri Hasunga
-
halmashauri ya wilaya ya Mlele yatakiwa kukamilisha miradi ya maendeleo kwa wakati
-
Shule za msingi na sekondari kufunguliwa karibuni
-
Watumishi watatu wa Halmashauri ya wilaya ya Nkasi Mikononi mwa TAKUKURU
-
Waziri Jafo aagiza kuchunguzwa kwa Halmashauri ya Mlele Mkoani Katavi
-
-
May
(12)
-
Waziri Mwakyembe azitaka ofisi za Umma kutoa taarifa kwa wanahabari
-
Baraza la Madiwani laipongeza Radio ya Jamii Unyanja.
-
CORONA: Wahudumu wa Afya Hai wapatiwa Msaada Kukabiliana na COVID-19.
-
RAIS WA ZANZIBAR APONGEZA RADIO JAMII
-
Mradi wa Maji wa Bil 9.4 Kyaka- Bunazi Wasainiwa
-
MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KUVAA BARAKOA .
-
Serikali Yataja Sababu za Sukari Kuadimika Nchini
-
ELIMU:KUHUSU UVAAJI WA BARAKOA
-
Mfumuko Wa Bei Wa Taifa Wapungua Hadi Asilimia 3.3 % Kutoka Asilimia 3.4%.
-
Barabaraya Uyogo – Ulowa Katika Halmashauri Ya Ushetu Yapandishwa Hadhi
-
VIRUSI VYA CORONA VINAWEZA KUSAMBAA KUPITIA VITASA NA SIMU?
-
WAZIRI MAHIGA AFARIKI DUNIA
-
-
April
(21)
-
Serikali Itaendelea Kuwakinga Watumishi Wa Afya dhidi ya Covid – 19
-
PANGANI INAHITAJI ZAIDI YA MILIONI 45 ILI KUPAMBANA NA CORONA
-
ZANZIBAR YATANGAZA WAGONJWA WAPYA 7 WA COVID19
-
WANANCHI MICHEWENI WAUNGANA KUDHIBITI #CORONA KWENYE MAENEO YAO
-
Kenya wagonjwa wafikia 355.
-
NECTA KUENDESHA MITIHANI YA TAIFA BAADA YA MITIHANI YA MAJARIBIO
-
WAGONJWA 37 WAPONA CORONA, 71 WASUBIRI VIPIMO VYA MWISHO
-
WAZIRI MKUU AELEZEA HALI YA MAAMBUKIZI YA CORONA MPAKA SASA
-
MAOMBI YA KITAIFA KUFANYIKA KESHO
-
WALIOPONA COVID 19 KUCHANGIA DAMU ILI KUTAFUTA TIBA
-
Bilioni 18.62 zang’arisha Kigoma kwa Barabara za Lami
-
MVUA YALETA ATHARI KWA WAKAZI WA WILAYA YA UVINZA
-
MVUA YATENGANISHA VIJIJI -KATAVI
-
TANZANIA YATANGAZA WAGONJWA WAPYA 53 WA CORONA
-
MAKONDA ATOA WITO WA KUTOSAFIRI BILA SABABU MAALUMU KUEPUKA CORONA
-
SERIKALI YAKANUSHA UWEPO WA UHABA WA SUKARI NCHINI
-
RAIS MAGUFULI AWAOMBA WATANZANIA WATUMIE SIKU TATU KUMUOMBA MUNGU KUHUSU #COVID19
-
MBARONI KWA KUDANGANYA KUUMWA #COVID19
-
CORONA: WAGONJWA WAPYA SITA WARIPOTIWA ZANZIBAR
-
RAIS MUSEVENI AWAONYA WENYE NYUMBA, ATAKA WAPANGAJI WASIFUKUZWE
-
KUHUSU CHINA KUTOA MSAADA TANZANIA
-
-
March
(7)
-
Waziri Wa afya atangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa wa corona Tanzania.
-
hizi ndio sampuli kwa ajili ya vipimo vya korona
-
maswali na majibu kuhusu Corona
-
Je nani anaweza kuathiriwa na corona?
-
LEO NI SIKU YA KIFUA KIKUU (TB) DUNIANI
-
PATA TAARIFA SAHII KUHUSU HOMA YA VIRUSI VYA CORONA.
-
MIUNDOMBINU YA BARABARA NI TATIZO KUBWA JIMBO LA NSIMBO MKOANI KATAVI.
-
- February (3)
-
2019
- December (1)
- November (1)
- October (1)
-
May
(5)
-
TADIO WAISHUKURU UNESCO KWA KUENDELEA KUWASHIKA MKONO.
-
WAANDISHI WA HABARI WAFANYA ZIARA MAKAO MAKUU YA IDARA YA HABARI MAELEZO
-
BEST DIALOGUE YAWAFUNDA WASIMAMIZI WA VIPINDI RADIO ZA KIJAMII.
-
HABARI MAELEZO KUSHIRIKIANA NA TADIO
-
Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2019 Yaanza Dodoma
-
- March (1)