Machweo nyuma ya majengo.

MAOMBI YA KITAIFA KUFANYIKA KESHO

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na viongozi wa madhehebu ya dini nchini, imeandaa maombi maalum kitaifa kuiombea nchi dhidi ya maambukizi ya COVID 19

Maombi hayo yatafanyika Aprili 22, 2020 viwanja vya Karimjee na kuhudhuriwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.