Machweo nyuma ya majengo.

Pakua jarida picha mafunzo ya Uhamasishaji juu ya Maadili ya Vyombo vya Habari na Kuripoti juu ya Hali ya Migogoro na Mabadiliko

Kuanzia tarehe 11 hadi 16 Agosti, TADIO ilifanya mafunzo ya siku sita kwa mameneja wa redio wanachama wa TADIO juu ya Maadili ya Vyombo vya Habari na Kuripoti katika Hali Migogoro na Mabadiliko. Mafunzo hayo yalifadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), bonyeza kitufe hapa chini kupakua jarida hilo ili kujionea mafunzo hayo katika picha.