Machweo nyuma ya majengo.

RAIS MAGUFULI AWAOMBA WATANZANIA WATUMIE SIKU TATU KUMUOMBA MUNGU KUHUSU #COVID19

“Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na Jumapili} KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU aliye muweza wa yote atuepushe na janga la ugonjwa huu. Tusali kwa kila mmoja kwa imani yake, atatusikia.” Rais Magufuli.