Sheria za vyombo vya habari

Kuna sheria, taratibu na miongozo mbalimbali iliyowekwa na mamlaka husika nchini Tanzania ambazo husimamia haki na wajibu wa vyombo vya habari katika kurusha matangazo yake hii hujumuisha pia radio jamii. Ifuatayo ni orodha ya sheria kanuni na taratibu mbalimbali zilizowekwa na mamlaka hizo, bofya kupata kabrasha husika.