Machweo nyuma ya majengo.

Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upataji wa Taarifa 2020

Mwaka huu, Siku ya Kimataifa ya Upataji wa Taarifa itafanyika Mkoani Arusha mnamo tarehe 28 Septemba. Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh. Idd Kimanta. Kauli mbiu ya mwaka huu ni Upataji wa Taarifa – Huokoa Maisha, Hujenga Uaminifu, Huleta Matumaini.

Maadhimisho haya yameandaliwa na TADIO kwa ushirikiano wa UNESCO kupitia ufadhili wa SDC