Machweo nyuma ya majengo.

VIRUSI VYA CORONA VINAWEZA KUSAMBAA KUPITIA VITASA NA SIMU?

Kwa mujibu wa taasisi ya FOPH ya nchini Uswisi imeeleza kuwa uwezekano wa vitu hivyo kubeba maambukizi ni mkubwa endapo mtu aliyeathirika atisha kitasa cha mlamgo au simu huku akiwa na majimaji yaliyomtoka baada kukohoa au kupiga chafya

Endapo mtu asiye muathirika atashika vitu hivyo kisha akagusa mdomo, macho au pua yake basi atapata maambukizi ya #COVID19 kirahisi

Jambo la muhimu ambalo linasisitizwa ni kunawa mikono yako kwa sabuni na maji tiririka au utumie Vitakasa mikono ili kuua virusi vya Corona.

Epuka kugusa pua, mdomo na macho endapo mikono yako si misafi na salama. Lakini jitenge na wengine upohudhuria kwenye mikusanyiko ya lazima

jf