Machweo nyuma ya majengo.

WANANCHI MICHEWENI WAUNGANA KUDHIBITI #CORONA KWENYE MAENEO YAO

KATIKA nyakati ambazo Ulimwengu unaendelea kushuhudia athari zinazosababishwa na kuwepo kwa mripuko wa Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na virusi vya korona, Mataifa na Jamii mbalimbali zimeamua kuanzisha utaratibu wa aina mbalimbali ili kuhakikisha virusi hivi vinadhibitiwa na kuacha kabisa kusambaa katika maeneo yao.


Wananchi wa shehia za Wilaya ya Michewebi Mkoa wa Kaskazini Pemba wameamua kuchukua tahadari kwa kuweka utaratibu wa kuwatambua wageni wanaoingia katika kijiji chao. #BoreshaHabari

Chukua hatua. #JikingeWakingeWengine #BakiNyumbani #BakiSalama

#Credit @micheweniFM