wazazi wajibikeni katika malezi

Wazazi na walezi mkoani iringa wametakiwa kushiriki vyema katika malezi na matunzo ya mtoto lengo likiwa ni kumstawisha mtoto katika hali ya maadili

Akizungumza na Nuru fm katibu tawala mkoa wa iringa Happiness seneda amesema kuwa anayo majukumu ya kimkoa lakini bado anashiriki vyema katika malezi na kusikiliza watoto wake pamoja na kuruhusu watoto kuuliza maswali . SOMA ZAIDI