Machweo nyuma ya majengo.

Waziri Wa afya atangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa wa corona Tanzania.

Waziri wa afya Ummy Mwalimu ametangaza kifo cha mgonjwa wa Corona kilichotokea leo asubuhi katika kituo cha Mlonganzila.

Anakuwa mgonjwa wa kwanza nchini kutangazwa kufa kwa ugonjwa huu.